EUROPA NA CONFERENCE LEAGUE: FURSA YA KUTUSUA KIBABE NA MERIDIANBET!”

Meridianbet inakwambia hivi leo hii kwenye mechi za Europa na Conference unaweza ukawa na bahati ya kutusua kibabe kwani mechi hizi zina machaguo zaidi ya 1000, hivyo ingia na ubeti sasa.

Tukianza na Conference League hapo baadae ACF Fiorentina baada ya kupigika mechi ya kwanza, leo hii watakuwa nyumbani kutaka kupindua meza dhidi ya Real Betis. Mlima hata sio mrefu kwani wapo nyuma kwa bao 1. Kwa upande wa Meridianbet wao wanampendelea mwenyeji kushinda mtanange huu kwa ODDS 2.35 kwa 3.10. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.

Chelsea wao watakuwa Stamford Bridge kumenyana dhidi ya Djurgardens IF ambao kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali walipigika kwao. Leo hii wamekuja London kusaka ushindi tena wa magoli kuanzia 4 ili waende fainali. Je Enzo Maresca na vijana wake wanaweza kupoteza leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.20 kwa 13.

Nafasi ya wewe kuwa Milionea ipo Meridianbet leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Kule Europa League sasa leo hii, Manchester United baada ya kushinda mechi yake iliyopita dhidi ya Athletic Bilbao, leo hii atakuwa na kibarua cha kulinda mtaji wake wa magoli matatu dhidi ya timu hiyo kutoka Hispania. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kwenda Fainali Amorim na vijana wake kwa ODDS 2.05 kwa 3.75. Bashiri hapa.

Kivumbi kingine kitakuwa ni kati ya Tottenham Hot Spurs ambao watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Bodoe/Glimt ya kule Norway ambapo mchezo wa kwanza walipigika vibaya mno wakiwa nyuma kwa goli 4-1. Ange na vijana wake wanahitaji kucheza fainali huku leo hii wakipewa ODDS 2.55 kwa 2.65. Je nani na nani kutinga Fainali?. Jisajili hapa na uibuke bingwa leo.