
PSG YAFUZU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA KUKUTANA NA INTER MILAN, MUNICH
Paris Saint-Germain (PSG) wamefuzu kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) baada ya kuwatoa Arsenal kwa jumla ya mabao 3-1 katika hatua ya nusu fainali. PSG walishinda mechi ya kwanza 1-0 ugenini, kisha wakamaliza kazi kwa ushindi wa 2-1 nyumbani kwenye Parc des Princes. PSG sasa watakutana na Inter Milan katika fainali itakayofanyika Jumamosi,…