LIGI Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora inaendelea ambapo kuna vigogo vinatarajiwa kupigwa uwanjani ndani ya Mei kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.
Simba SC itakuwa uwanjani Mei 8 2025 kusaka pointi tatu dhidi ya Pamba Jiji mchezo unoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex.
KMC vs Simba SC, Mei 11 2025, Uwanja wa KMC Complex.
Mei 12 2025
Tanzania Prisons vs Coastal Union, Uwanja wa Sokoine.
Kagera Sugar vs Mashujaa FC, Uwanja wa Kaitaba.
Hizi hapa kupigwa Mei 13 2025
JKT Tanzania vs Fountain Gate, Uwanja wa Isamuhyo.
KenGold FC vs Pamba Jiji, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Yanga SC vs Namungo, Uwanja wa KMC Complex.
Azam FC vs Dodoma Jiji, Uwanja wa Azam Complex
Mei 14 2025
Tabora United vs KMC, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.
Kigogo cha kufungia Mei
Simba SC vs Singida Black Stars, Uwanja wa KMC Complex.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu usipange kukosa.