Mchezo namba 184 (YANGA SC V s SIMBA SC) ulioghairishwa kuchezwa tarehe 8 Machi, 2025 sasa utachezwa tarehe Juni 15, 2025 siku ya Jumapili saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa.
YANGA NA SIMBA KUKIPIGA JUMAPILI YA JUNI 15, YANGA WATOA TAMKO!
