
SIMBA SC NAMBA MOJA KWA TIMU ILIYOPIGA PENALTI NYINGI BONGO
SIMBA SC ni timu namba moja kupata penalti ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa imepata jumla ya penalti 12 msimu wa 2024/25 katika Ligi Kuu Tanzania Bara. Penalti mbili ambazo wamezipata dhidi ya Mashujaa FC Mei 2 2025 zote zikifungwa na Leonel Ateba katika ushindi wa mabao 2-1 Mashujaa FC zinamfanya Ateba kufikisha jumla ya…