
YANGA YAANGUKIA PUA CAS, KARIAKOO DERBY IPO PALE PALE
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imetupa rufani ya klabu ya Yanga yenye kumbukumbu namba CAS 2025/A/11298 ambayo klabu hiyo iliifungua dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhusiana na mchezo wa Ligi Kuu wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga Sc dhidi ya Simba Sc ulioahirishwa. Taarifa ya Shirikisho la…