SIMBA WANASA SIRI ZA WAARABU, KAZI KUBWA KUFANYIKA

KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids  amesema kuwa wamepata muda wa kuwafutilia wapinzani wao Al Masry na kutambua kuwa ni miongoni mwa timu ambayo ina nguvu ubwa kwenye ulinzi na kushambulia jambo ambalo watakabiliana nalo ili kupata matokeo chanya. Kikosi cha Simba kipo nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho…

Read More

YANGA HESABU KWA TABORA UNITED

MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema watapambana kufanya kazi kubwa mbele ya Tabora United ili wapate pointi tatu muhimu katika mchezo ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90. Machi 2025 Yanga ilifunga kwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Songea United mchezo wa CRDB Federation Cup ilikuwa ni Machi 29…

Read More