YANGA KUSAKA TIKETI KUTINGA FAINALI

KUTOKA ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC inakibarua cha kusaka tiketi kutinga fainali Muungano Cup 2025 kwa kusaka ushindi dhidi ya Zimamoto FC saa 1:15 Uwanja wa Gombani, Pemba.  Kwenye robo fainali ya Zimamoto ilikuwa ni Aprili 25 2025 ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara….

Read More

SIMBA HESABU FAINALI, KUANZIA UGENINI

MOHAMED Hussen Zimbwe Jr nahodha wa Simba amewaomba Watanzania waendelee kuwaombe kuelekea kwenye mchezo wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mei 17 2025 wanatarajiwa kuwa ugenini nchini Morocco kumenyana na RS Berkane na Mei 25 2025 watakuwa Dar kwenye fainali ya pili itakayoamua mshindi wa jumla atakayetwaa taji hilo. Simba SC inayonolewa…

Read More

AZAM FC YAMALIZA MWENDO MUUNGANO CUP

JKU SC imewaondoa vigogo wawili katika Muungano Cup 2025 ambao wapo ndani ya nne bora Ligi Kuu Tanzania Bara. Walianza na Singida Black Stars katika hatua ya robo fainali Aprili 24 ilikuwa JKU SC 2-2 Singida Black Stars katika penalti ilikuwa JKU SC 6-5 Singida Black Stars. Aprili 28 2025, Azam FC waliumaliza mwendo kwa…

Read More