
SIMBA HESABU FAINALI, KUANZIA UGENINI
MOHAMED Hussen Zimbwe Jr nahodha wa Simba amewaomba Watanzania waendelee kuwaombe kuelekea kwenye mchezo wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mei 17 2025 wanatarajiwa kuwa ugenini nchini Morocco kumenyana na RS Berkane na Mei 25 2025 watakuwa Dar kwenye fainali ya pili itakayoamua mshindi wa jumla atakayetwaa taji hilo. Simba SC inayonolewa…