MTONI QUEENS NA SABASABA QUEENS ZAFURAHIA UJIO WA MERIDIANBET

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet leo hii tarehe 28 imeendelea na juhudi zake za kuisaidia jamii ambapo safari hii iliamua kuwagusa wanawake hasa katika sekta ya michezo.

Timu za Mtoni Queens na Sabasaba Queens wamepokea vifaa vya michezo siku ya leo yaani mipira na jezi ambazo hizi zinapatikana katika kata ya Mtoni, jijini Dar es salaam, na hii yote ni kwaajili ya kuinua vipaji vya wanawake.

Zoezi hilo la ugawaji wa mipira na jezi ulifanywa na Meridianbet kwa kuongozwa na Afisa Mahusiano wa kampuni hiyo ya Meridianbet Bi Nancy Ingram ambapo na msafara wake walifika mpaka Mtoni na kupokelewa vizuri kabisa na uongozi wa timu hizo mbili, ambapo ujio wao ulifurahiwa na timu hizo zote kwani walikuwa na uhitaji wa jezi na mipira.

Ukiachana na Meridianbet kutoa jezi hizo, pia unaweza ukabashiri hapa hapa na kuibuka bingwa sasa. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Kutokana na kukua kwa Sayansi na Teknolojia nchini kwetu, sasa hivi hata wazazi wanawaruhusu watoto wao kushiriki katika michezo hasa mpira wa miguu ambapo hapo zamani ilionekana kama mchezo wa wanaume pekee. Lakini siku hizi pia kuna wanawake wanacheza mpira wa miguu na hii imeguka kuwa ajira kwa vijana wengi.

Baada ya kutoa vifaa hivyo vya michezo mwakilishi wa Meridianbet aliweza kuzungumza kidogo akisema kuwa, “Sisi Meridianbet tunaamini kuwa michezo ni jukwaa muhimu sana kwa maendeleo ya vijana na jamii kwa ujumla. Kupitia michezo, vijana wanaweza kujifunza nidhamu, kujituma na kufanya kazi kwa pamoja. Tunajivunia kuwa sehemu ya safari ya mafanikio ya Mtoni Queens na Mtoni Sabasaba.”

Kwa upande wao, viongozi wa timu walitoa shukrani zao za dhati kwa Meridianbet kwa msaada huo mkubwa, wakisema kuwa vifaa hivyo vitawapa motisha zaidi wachezaji na kuongeza morali ya timu. Pia walieleza kuwa msaada huu utaboresha kiwango cha ushindani katika mechi mbalimbali zinazowakabili.

Meridianbet inaendelea kuwa mdau mkubwa wa michezo nchini Tanzania, si tu katika ngazi ya kitaifa bali pia kwenye maendeleo ya michezo katika ngazi ya jamii. Kampuni hii imejikita katika kusaidia vijana kufikia ndoto zao kupitia msaada wa vifaa, udhamini wa mashindano, na programu za maendeleo ya michezo.

Kwa msaada kama huu, Meridianbet inathibitisha kwa vitendo kuwa inayo nia ya dhati ya kuwekeza katika mustakabali wa michezo nchini, na kuwapa vijana fursa ya kuonesha vipaji vyao Duniani.

Vilevile Meridianbet inakuambia hivi endelea kubashiri mechi zote za leo ambazo zinachezwa kuanzia pale Italia mpaka kule Uturuki. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili hapa.