
AL AHLY YATANGAZA KUACHANA NA KOCHA KOLLER BAADA YA KUDONDOSHA NUSU FAINALI
Klabu ya Al Ahly ya Misri imetangaza kuachana na kocha Marcel Koller baada ya kutolewa katika nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 64 alipata lawama kubwa baada ya mabingwa watetezi kutolewa na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwa kanuni ya bao la ugenini, baada ya kutoka sare ya 1-1…