
KOCHA WA HARAMBEE STARS, BENNI MCCARTHY, APIGIWA CHAPUO KURUDI ORLANDO PIRATES
Kocha wa Timu ya soka ya Taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ Benni McCarthy amepigiwa upatu kuwa Kocha wa Klabu yake ya zamani. Kocha wa Harambee Stars ameibuka miongoni mwa majina yanayohusishwa na nafasi ya Ukocha katika miamba ya Afrika Kusini Orlando Pirates. Gwiji huyo wa Bafana Bafana amehudumu miezi michache tu tangu ateuliwe kuwa Kocha…