
PAPA FRANCIS AFARIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 88
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88, hatua inayofunga ukurasa wa uongozi wake uliojaa changamoto, migawanyiko na juhudi za kulifanyia mabadiliko Kanisa hilo la miaka 2,000. Vatican imethibitisha taarifa hizo kupitia video iliyosambazwa kwa vyombo vya habari. “Ndugu wapendwa, kwa huzuni kuu nawasilisha taarifa ya…