VIDEO: UWANJA WA MKAPA KUFANYIWA MABORESHO MAKUBWA

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameweka wazi kuwa wadau wanapaswa kujikita kwenye njia za kitaalamu kwa namna ya kuendesha sanaa ambapo Serikali inatengeneza mazingira kwa ajili ya kuboresha mazingira ili wafanye uwekezaji kwenye kazi zao kushindana kimataifa.

Kuhusu Uwanja wa Mkapa, Msigwa ameweka wazi kuwa watafanya maboresho makubwa baada ya CHAN na kwa sasa maboresho yanayofanyika ni kwenye eneo la viti ambapo uwekezaji mkubwa unafanyika kuelekea AFCON.