
TFF YAMTIA HATIANI ALI KAMWE, YAMUACHIA HURU AHMED ALLY
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa maamuzi tofauti kwa maofisa habari wa vilabu vya Yanga na Simba baada ya kupitia mashauri yaliyowasilishwa mbele yake. Katika kikao chake cha kupitia mashauri hayo, Kamati hiyo ilimkuta na hatia Ali Kamwe, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, kwa kosa la…