
SINGIDA BLACK STARS HAWACHEKI NA YEYOTE
BAADA ya Singida Black Stars kutinga hatua ya nusu fainali uongozi umebainisha kuwa utapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Simba ili watinge hatua ya fainali. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga, Aprili 15 2025 walikata tiketi yakutiga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa mabao 8-1 dhidi…