
SIMBA YATINGA NUSU FAINALI, YANGA KAZINI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Fadlu Davids kimetinga hatua ya nusu fainali CRDB Federation Cup kwa ushindi dhidi ya Mbeya City. Kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa KMC Complex, Simba ilipata mabao kupitia kwa Fabrince Ngoma dakika ya 24 akiweka usawa bao la Mudathir Said wa Mbeya City aliyepachika bao dakika ya 22. Bao…