Mohamed Salah asaini kandarasi mpya na Liverpool hadi mwaka 2027, hii ni baada ya miezi mingi ya uvumi kuhusu hatima yake, hatimaye nyota huyo wa Misri ameweka kalamu kwenye karatasi na kubaki Anfield kwa miaka mingine mitatu.
Liverpool wamefanikiwa kumbakiza mmoja wa wachezaji wao muhimu – ishara kuwa bado wana ndoto kubwa za mafanikio.