
VITA YA UFUNGAJI BORA KASI YAKE BALAA, DUBE, AHOUA
MCHEZAJI bora wa mchezo wa Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, Prince Dube ameongeza kasi kwenye vita yakuwania tuzo ya kiatu cha mfungaji bora. Wakati ubao wa Uwanja wa Azam Complex Aprili 10 2025 ukisoma Azam FC 1-2 Yanga, Prince Dube alifunga bao moja dakika ya 33 na bao la ufunguzi…