
SIMBA: TUNAKWENDA KUMTOA MWARABU, KILA KINACHOWEZEKANA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa jukumu la kuipeleka Simba hatua ya nusu fainali ni la mashabiki wote hivyo wanapaswa kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa, Aprili 9 2025 kwenye mchezo dhidi ya Al Masry unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ikiwa ni hatua ya robo fainali ya pili baada ya ile ya kwanza kupoteza kwa…