VIDEO: SIMBA YATANGAZA SILAHA NYINGINE KUWAMALIZA WAARABU

KUELEKEA kwenye mchezo wa kimataifa hatua ya robo fainali ya pili kati ya Simba v Al Masry, uongozi wa Simba umebainisha kuwa mashabiki wote wa Dar wanapaswa kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa kumaliza kazi kupata ushindi dhidi ya Al Masry. Simba wamebainisha kwamba wamedhamiria ubaya ubwela na kukusanya kila siala kusaka ushindi na kutangaza silaha za kazi kuwamaliza Waarabu, Al Masry.