MAJESHI YA YANGA V COASTAL UNION

KIKOSI cha Yanga ambacho kimepangwa kuanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union ya Tanga kipo namna hii:-

Djigui Diarra, Israel Mwenda, Nickson Kibabage, Dockson Job, Bakari Nondo, Khalid Aucho, Maxi Nzengeli.

Duke Abuya, Prince Dube, Pacome, Mzize Clement.

Wachezaji wa akiba ni : Aweso, Kibwana Shomari, Farid, Nkane, SureBoy, Shekhan, Mudathir, Ikanga Lombo, Chama, Musonda.

Kwa upande wa Coastal Union kikosi kipo namna hii:-Fales Gama, Miraj Abdallah, Maulid Shaban, Lukas Kikoti, Maabad Maabad, Abdallah Denis, Bakari Seleman, Lameck Lawi.

Aidan Alexeder, Semfuko Daud, Haroub Abdallah.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu usipange kukosa.