SIMBA YAGOMEA KUGOTEA ROBO FAINALI
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa haupo tayari kugotea kwa mara nyingine tena kwenye hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya kimataifa Afrika malengo ni kuona wanavuka hatua hiyo na kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Katika mchezo wa kwanza wa robo fainali wakiwa ugenini nchini Misri, Aprili 2 2025 baada ya dakika…