
LEO NDIYO SIKU! MECHI KUBWA, ODDS KUBWA, USHINDI MKUBWA!
Hatimaye baada ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa na matokeo mengine yakiwa yakustaajibisha, leo hii ni zamu tena ya wababe wengine kibao uwanjai. Beti yako unampa nani akupe pesa? Tukianza na ligi kuu ya Uingereza EPL mechi kibao zipo Brentford atamualika kwake Chelsea ambapo mechi ya kwanza The Blues waliondoka na ushindi. Nafasi ya kushinda…