
AZAM FC WAKOMBA POINTI TATU ZA KEN GOLD MAZIMA
NASSORO Saadun amefikisha mabao sita ndani ya Azam FC baada ya kupachika bao moja mbele ya Ken Gold dakika ya 39 kwa mguu wa kushoto akitumia pasi ya Pascal Msindo. Kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa kazi ilimalizika dakika 45 za kipindi cha kwanza, Mbeya. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Ken Gold 0-2…