REAL MADRID YASONGA FAINALI YA COPA DEL REY DHIDI YA REAL SOCIEDAD

Real Madrid imesonga mbele kwenda fainali ya kombe la Copa del Rey kufuatia ushindi wa jumla wa 5-4 dhidi ya Real Sociedad kwenye nusu fainali na imetangulia fainali kumsuburi mmoja kati ya Barcelona au Atletico Madrid.

Real Madrid ilishinda 1-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya kutoshana nguvu kwa sare ya 4-4 kwenye marudiano ambapo mchezo ulilazimika kwenda mpaka dakika 30 za ziada.

FT: Real Madrid 4-4 Real Sociedad Agg. 5-4)
⚽ 30’ Endrick
⚽ 82’ Bellingham
⚽ 86’ Tchouaméni
⚽ 115’ Rüdiger
⚽ 16’ Barrenetxea
⚽ 72’ Alaba 72’ (og)
⚽ 80’ Oyarzabal
⚽ 90+3’ Oyarzabal