RATIBA YA LIGI KUU BARA IPO NAMNA HII

LIGI Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora bado inaendelea ambapo kwa sasa ni mzunguko wa pili vinara wakiwa ni Yanga na pointi zao kibindoni ni 58, hii hapa ratiba ya mechi kwa Aprili na Mei zipo namna hii:-

Pamba Jiji v Namungo, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza inatarajiwa kupigwa saa 8:00 mchana.

Tabora United v Yanga, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora inatarajiwa kupigwa saa 10:15 jioni.

KMC v Tanzania Prisons, Uwanja wa KMC Complex, Dar inatarajiwa kupigwa saa 10:15 jioni.

Fountain Gate v Singida Black Stars, Uwanja wa Tanzanite, Kwara Manyara inatarajiwa kupigwa saa 10:15 jioni.

APRILI 3 KETE ZITAKUWA NAMNA HII

JKT Tanzania v Dodoma Jiji, Uwanja wa Isahmuhyo, Dar inatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni.

Ken Gold v Azam FC, Uwanja wa Sokoine, Mbeya inatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni.

Kagera Sugar v Coastal Union, Uwanja wa Kaitaba, Kagera inatarajiwa kuchezwa saa 1:00 jioni.

MNYAMA NI MEI

Simba V Mashujaa hii inatarajiwa kuchezwa Mei 2 2025, Uwanja wa KMC Complex, Dar.

 

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu usipange kukosa.