MECHI ZA LEO ZA ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA AFRICA

1.AL AHLY🇪🇬 Vs AL HILAL🇸🇩 saa nne usiku
2.MAMELOD 🇿🇦 VS ESPARENCE TUNIS🇹🇳 saa kumi jioni
3.MC ALGER 🇩🇿 VS ORLANDO PIRATES🇿🇦 saa nne usiku
4.PYRAMID 🇪🇬 VS FAR RABAT 🇲🇦 saa nne usiku

NANI ANAPASUKA LEO KWA MAONI YAKO…??