
SIMBA YAKWEA PIPA KUWAFUATA AL MASRY, AIR MANULA ABAKI
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids alfajiri ya Machi 28 2025 kimekwea pipa kuelekea Misri kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho dhidi yaAl Masry, mchezo unaotarajiwa kuchezwa Aprili 2 2025. Mchezo wa marudio unatarajiwa kuchezwa Machi 9 Uwanja wa Mkapa ambapo Simba watakuwa nyumbani na wamebainisha kuwa kikubwa…