SIMBA YAINGIA MCHECHETO KISA BIG MAN

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa tayari unaendelea na maandalizi ya mechi za ushindani zilizo mbele yao ikiwa ni mchezo wa hatua ya CRDB Federation Cup dhidi ya Big Man ambao unatarajiwa kuchezwa Machi 27 2025, Uwanja wa KMC Complex. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa wanatambua uwepo wa mechi…

Read More

MWAMBA MPANZU KUMBE GARI BADO HALIJAWAKA

WINGA wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Ellie Mpanzu ameweka wazi kuwa bado hajafikia ubora wake kwa asilimia 100 kwenye mechi za ushindani hivyo kwa maana hiyo gari bado halijawaka. Hivyo licha yakuwa kwenye mwendelezo katika mechi ambazo anacheza bado chuma hakijapata moto kufikia makali ambayo anayo kutokana na uwezo wake…

Read More

YANGA YAWASHUKURU MASHABIKI KWA JAMBO HILI

WALTER Harson, Meneja wa Yanga amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Black Stars ulikuwa wenye ushindani mkubwa kutokana na mvua kubwa mchezo huo ulishindwa kumalizika huku wakiwashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi kuwashangilia. Ni Machi 24 Singida Black Stars waliwakaribisha Yanga katika mchezo wa kirafiki ambapo ulikuwa maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa Uwanja…

Read More

HII HAPA MITAMBO YA MABAO KUTOKA KARIAKOO

NDANI ya Ligi namba nne kwa ubora Afrika kuna mashine za kazi eneo la ushambuliaji ambazo zimekuwa kwenye mwendo mzuri kutoka kikosi cha Simba ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Vita sio nyepesi kwenye eneo la ushambuliaji ambapo mabingwa watetezi Yanga wao pointi zao kibindoni ambazo ni 58 ni saw ana idadi ya mabao…

Read More