
SIMBA YATAMBIA UWEPO WA MWAMBA HUYU
UONGOZI wa Simba umetambia uwepo wa kinara wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora, Jean Ahoua kwa msimu wa 2024/25 akiwa ni chaguo la kwanza la kocha. Ndani ya kikosi cha Simba kiungo huyo rekodi zinaonyesha kuwa amecheza jumla ya mechi 21 akikomba dakika 1,550 na…