Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa klabu ya Yanga SC wanapaswa kufuata utaratibu maalum katika uwasilishwaji wa malalamiko kuhusu Derby.
SALEH JEMBE AWATOLEA UVIVU YANGA – ASHANGAA KWENDA CAS – ”WAKIONGOZA LIGI BODI INAFANYA VIZURI”
