
REKODI ZA SIMBA ZAVUNJWA NA YANGA
BAADA ya dakika 90 Kwenye Kariakoo Dabi ya Wanawake kukamilika na ubao kusoma Simba Queens 0-1 Yanga Princess rekodi ya timu hiyo kutopoteza pointi tatu ndani ya msimu wa 2024/25 imeyusha mazima na watani zao wa jadi. Ikumbukwe kwamba baada ya Simba Queens kucheza mechi 12 ilikuwa haijapoteza mchezo ndani ya ligi kwenye dakika 1,080…