
SILAHA ILIYOWAANGAMIZA SIMBA KARIAKOO DABI YAFUNGUKA
NYOTA wa Yanga Princess, Jeannine Mukandayisenga muuaji wa Simba Queens kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi uliochezwa Uwanja wa KMC Complex amefichua siri kuwa walipewa maelekezo na benchi la ufundi lialoongozwa na Edna Lema namna ya kuuvunja ukuta wa Simba. Ushindi wa Yanga Princess unavunja rekodi ya kukwama kupata pointi tatu kwenye mechi tanoambazo ni dakika…