LEGENDI kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo, Saleh Ally Jembe ameweka wazi kuwa anamuunga mkono Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Wallace Karia kuhusu suala la uwajibikaji huku akifungukia mchezo wa Kariakoo Dabi ambayo iliyeyuka Machi 8 2025.