
KIBU D ALIYEYUSHA MWAKA BILA KUFUNGA BONGO
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis ambaye ni maarufu kwa jina la mkandaji alipitisha mwaka mzima bila kufunga ndani ya ligi kwenye mechi za ushindani ambapo mara ya mwisho alifanya hivyo msimu wa 2023/24 jambo ambalo lilikuwa ni gumzo kubwa. Ikumbukwe kwamba nyota huyo ambaye ni chaguo la kwanza katika kikosi cha Simba kinachonolewa na…