MAMBO NI MOTO LEO, LALIGA, BUNDESLIGA NA EPL

Nafasi ya wewe kuondoka na zaidi ya Mamilioni ipo Meridianbet leo. Suka jamvi lako lenye ODDS za uhakika na uchague timu zako za ushindi hapa.

LALIGA kuna mechi za kubashiri pia, Real Valladolid ambao ndio wa mwisho kwenye msimamo wa ligi, watakipiga dhidi ya Celta Vigo ambao wanashikilia nafasi ya 9. Mgeni pia ametoka kushinda, hivyo anahitaji muendelezo wa ushindi hata ugenini. Suka jamvi mechi hii yenye machago zaidi ya 1000 Meridianbet.

Nao Real Madrid watakuwa ugenini leo kusaka ushindi dhidi ya Villarreal ambao wapo nafasi ya 5. Tofauti ya pointi kati yao ni 13 huku mechi ya mwisho kukutana Ancelotti aliondoka na ushindi. Je mwenyeji kulipa kisasi leo?. ODDS za mechi hii ni 2.85 kwa 2.35. Jisajili hapa.

Girona ataumana vikali dhidi ya Valencia ambapo wakali wa ubashiri Tanzania wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.05 kwa 3.80. Je beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?. Bashiri hapa.

Bashiri na Meridianbet mechi zote za ligi mbalimbali leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

BUNDESLIGA patawaka moto vibaya sana ambapo FSV Mainz atamenyana dhidi ya Freiburg ambao wametoka kutoa suluhu mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye ameshinda kwa kishindo. 1.95 kwa 4.20 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.

Huku vijana wa Kompany Bayern Munich wao watakuwa ugenini dhidi ya Union Berlin ambao wapo nafasi ya 14. Bayern ndio vinara wa ligi huku mechi ya mwisho ya ligi walipigika. Je leo hii watashinda ugenini?. 8.60 kwa 1.35 ndio ODDS zao. Bashiri hapa.

Na mechi kali leo hii ni RB Leipzig sv Borussia Dortmund ambapo timu hizi mbili tofauti yao ni pointi 4 pekee. RB anahitaji kulipa kisasi leo hii baada ya kupigika mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana. Je ataweza kushinda leo nyumbani?. 2.60 kwa 2.65 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Uingereza, EPL ambapo Everton atamenyana dhidi ya West Ham United ambapo wote hawa wana pointi sawa kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana timu hizi, walitoshana nguvu. Je leo hii kwa ODDS 2.20 kwa 3.75. Bashiri hapa.

Pia mechi nyingine ya pesa ni hii Manchester City vs Brighton huku mechi ya kwanza walipokutana, vijana wa Pep Guardiola walipigika. Ikumbukwe kuwa City wametoka kupoteza huku wageni wao wakishinda. 1.75 kwa 4.50 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Katika dimba la Craig Pawson kutakuwa na mechi kali kati ya AFC Bournemouth dhidi ya Brentford majira ya saa 2:30 usiku. Mwenyeji yupo nafasi ya 9, huku mgeni wake akiwa nafasi ya 12. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.77 kwa 4.30. Tandika jamvi hapa.

Vilevile SERIE A kule Italia ipo AC Monza atamenyana dhidi ya Parma Calcio huku takwimu zikionesha kuwa mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi. Mwenyeji yupo nafasi ya mwisho kuku mgeni wake akiwa nafasi ya 17. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.95 kwa 2.60. Suka jamvi hapa.

Baada ya AC Milan kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Como 1907 ambao wapo nafasi ya 13. Milan wanahitaji ushindi kwani mechi za nyuma yake kabla ya kushinda iliyopita walipoteza 3. Je mgei atakubali kichapo?. 1.82 kwa 4.40 ndio ODDS za hapa. Jisajili sasa.

Mechi ya mwisho Italia leo hii ni hii ambayo inawakutanisha kati ya Torino FC dhidi ya Empoli ambao wapo nafasi ya 18 hadi sasa. Tofauti yao ni pointi 13 huku nafasi ya kuondoka kifua mbele akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.87 kwa 4.60. Tengeneza jamvi hapa.