
KIBU AFUNGUKIA TUZO YAKE BONGO
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis maarufu kwa jina la mkandaji amechekelea kutwaa tuzo yake ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara namba nne kwa ubora Afrika baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba Machi 14 2025 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja…