KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA DODOMA JIJI HIKI HAPA, ATEBA BENCHI

KIKOSI cha Simba dhidi ya Dodoma Jiji kipo namna hii:- Ally Salim, Duchu, Mohamed Hussen, Chamou, Hamza Jr, Yusuph Kagoma.

Kibu Dennis, Fabrince Ngoma, Steven Mukwala, Jean Ahoua, Ellie Mpanzu hawa wataanza kikosi cha kwanza.

Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kwenye eneo la ushambuliaji ameanza na Mukwala huku mtambo mwingine wa kazi Ateba ukianzia benchi.

Wawili hawa Ateba na Mukwala ndani ya msimu wa 2024/25 ni mabao 8 kila mmoja katupia kwenye mechi ambazo wamecheza ndani ya ligi.

Wachezaji wa akiba ni Hussen Abel, Kelvin Kijili, Valentin Nouma, Okejapha, Mavambo, Awesu Awesu, Chasambi, Ateba Leonel, Mashaka, Alexander.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.