USIKOSE MECHI ZA LIGI YA MABINGWA NA EUROPA, MACHAGUO ZAIDI YA 1000 YAPO HAPA

Baada ya wiki hii kushuhudia mechi mbalimbali za ligi ya mabingwa na Europa kuendelea, sasa hatimaye ni zamu ya ligi kurejea mbapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.

Ufaransa pale LIGUE 1 kuna mtanange mmoja wa pesa ambapo OGC Nice baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya AJ Auxerre ambao walishinda mechi yao iliyopita. Mtanange huu umepewa ODDS 1.62 kwa 5.40. Jisajili hapa.

Uingereza leo hii CHAMPIONSHIP kuna mechi moja pia Bristol City atamenyana dhidi ya Norwich City ambao walipigika mechi yao iliyopita, huku wenyeji wao wakitoa sare. Kila timu inahitaji pointi 3 leo.  Meridianbet imeipa mechi hii ODDS 2.17 kwa 3.15. Bashiri hapa.

Ijumaa ya leo kukupatia mshiko mkubwa, bashiri sasa na Meridianbet mechi zote. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kwa upande wa LALIGA pale kuna mchezo mmoja ambapo UD Las Palmas atakipiga dhidi ya Deportivo Alaves huku nafasi ya kushinda pale Meridianbet akipewa mgeni kwa ODDS 2.75 kwa 2.90. Mara ya mwisho kukutana, mgeni akiondoka na ushindi. Je leo hii wmenyeji anaweza kulipa kisasi nyumbani?. Bashiri hapa.

Pia kule SERIE A leo hii kitawaka haswa ambapo Genoa baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita, watakipiga dhidi ya US Lecce ambao walipoteza mechi yao iliyopita wakiwa nyumbani. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho walipokutana, walitoshana nguvu. Je leo hii nani ataondoka na pointi 3?. ODDS za mechi hii ni 2.15 kwa 4.20. Jisajili hapa.

BUNDESLIGA pale Ujerumani pia itaendelea FC ST. Pauli watawaleta kwao TSG Hoffenheim ambao wapo nafasi ya 13, huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi hiyo. Tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee huku nafasi ya kuondoka na pointi 3 akipewa mwenyeji kwa ODDS 2.35 kwa 3.25. Suka jamvi hapa.