HIKI HAPA KIKOSI CHA DODOMA JIJI DHIDI YA SIMBA

DODOMA Jiji watakuwa na kazi yakusaka pointi tatu dhidi ya Simba kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC huku nyota Abdi Banda na Ibrahim Ajibu wakianzia benchi.

Ni Ngeleka Katembua, Augustino Nsata, Apollo Onyango, Salmin Hoza, Mwana Kibuta, Dickson Mhilu, Daud Milandu, Mukrin Issa, Paul Obata, Reliants Lusajo, Paul Kasunda.

Akiba ni Lulihoshi Heritier, Abdi Banda, Hassan Mwaterema, Junior Osaghae, Ibrahim Ajibu, Daniel Mgore, Mohamed Hussen, Yasin Mgaza, Omar Shaban.

Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma baada ya dakika 90 ubao ulisoma Dodoma Jiji 0-1 Simba, bao likifungwa na Jean Ahoua.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.