
RAIS WA TFF WALLACE KARIA APOKEWA NA FAMILIA YAKE AKITOKEA MISRI KWENYE MKUTANO MKUU WA CAF
Rais wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji CAF, Wallace Karia akipokewa na familia yake baada ya kuwasili akitokea Misri kwenye Mkutano Mkuu wa CAF. Karia ameshinda nafasi ya Ujumbe wa Kamati ya Utendaji CAF