EUROPA LEAGUE Kukutajirisha Leo

Alhamis ya Europa league imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3.

Manchester United ya Amorim watakiwasha dhidi ya Real Sociedad katika dimba la Old Trafford huku mechi ya kwanza kukutana, walitoshana nguvu hivyo mechi hii ya leo yoyote anaweza kuibuka mbabe. Je Mashetani Wekundu watafanya nini nyumbani leo?. 2.00 kwa 4.30 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.

Olympique Lyon ataumana vikali dhidi ya FCSB huku ikikumbukwa kuwa mechi ya mkondo wa kwanza Mfaransa aliondoka na ushindi mnono. Je leo hii mgeni anaweza kupindua meza ugenini?. Meridianbet wanaipa mechi hii ODDS 1.37 kwa 8.60. Jisajili hapa.

Mechi za EUROPA LEAGUE kukupatia mshiko Alhamisi ya leo, bashiri sasa na Meridianbet mechi zote. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

AS Roma atasafiri kukipiga dhidi ya Athletic Bilbao ambapo wakali wa ubashiri wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.98 kwa 4.00. Mgeni alishinda mtanange wa kwanza hivyo mwenyeji anataka kulipa kisasi. Wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.

Wakati kwa upande wa Lazio Rome yeye atakuwa uso kwa uso dhidi ya Viktoria Plzen ambao walipigika mechi ya mkondo wa kwanza. Mwenyeji anahitaji ushindi na leo nyumbani ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kwenda robo fainali. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.45 kwa 7.20.

Vilevile Eintracht Frankfurt atamleta kwake Ajax ya kule Uholanzi huku mechi ya kwanza walipoonana mwenyeji aliibuka na ushindi. Na leo ni nafasi ya mgeni kufanya maajabu yoyote pale ugenini asonge hatua inayofuata. Je Mholanzi huyo atafanya nini?. Mechi hii ina ODDS 2.02 kwa 3.60. Bashiri hapa.

Pia naye Glasgow Rangers atakipiga haswa dhidi ya Fenerbahce ya kule Uturuki huku kila timu hii leo ikihitaji ushindi ili kusonga hatua ya robo fainali kwenye michuano hii ya Ulaya. Mturuki alichezea mtanange wa kwanza walipokutana akiwa nyuma magoli mawili. Je leo hii ataweza kupindua meza pale dimba la Ibrox?. 2.70 kwa 2.55 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Pale London, katika dimba la Tottenham Hot Spurs, Tottenham Spurs watamualika kwake AZ Alkmaar ambao waliondoka na ushindi mwembamba wakiwa kwao. Spurs leo hii wanataka kushinda zaidi ya magoli mawili ili wajihakikishie nafasi ya robo fainali. Je beti yako unaiweka wapi leo?. Bashiri hapa ambapo ODDS za mechi hii ni 1.50 kwa 6.40.