
KAPOMBE: HAIKUWA KAZI RAHISI KUSHINDA
SHOMARI Kapombe beki wa Simba amesema kuwa walikutana na ushindani mkubwa kutoka kwa wapinzani wao TMA Stars katika mchezo wa hatua ya 32 bora CRDB Federation Cup uliochezwa Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo Machi 11 2025 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 3-0 TMA Stars kwa mabao ya Valentin Nouma dakika ya…