YANGA wametinga hatua ya 16 bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA CUP) kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Wanamangush, Coastal Union katika dimba la KMC Complex.
Yanga Sc itachuana na Songea United kwenye hatua inayofuata ya michuano hiyo.
FT: Yanga Sc 3-1 Coastal Union
⚽ 02’ Maxi
⚽ 15’ Maxi
⚽ 21’ Mzize
⚽ 18’ Miraji
DROO YA HATUA YA 16 BORA
Simba Sc vs BigMan
Yanga Sc vs Songea United
Tabora Utd vs Kagera Sugar
Mashujaa Fc vs Pamba Jiji
Singida Black Stars vs Kmc
JKT Tanzania vs Mbeya Kwanza
Mbeya City vs Mtibwa Sugar
Stand Utd vs Giraffe Academy