LIVERPOOL YASUKUMIZWA NJE YA MICHUANO YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Liverpool imesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia kipigo cha penalti 4-1 dhidi ya Paris Saint-German wenye hatua ya 16 bora katika dimba la Anfield.

FT: Liverpool 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 0-1 🇫🇷 PSG (Agg. 1-1)
⚽ 12’ Dembele

MATUTA:

Liverpool:
✅ Salah
❌ Nunez
❌ Jones

PSG:
✅ Vitinga
✅ Ramos
✅ Dembele
✅ Doue