Skip to content
March 12, 2025
  • ZAMALEK WAVUNA POINT 3 BAAADA YA AHLY KUWEKA MPIRA KWAPANI
  • LIVERPOOL YASUKUMIZWA NJE YA MICHUANO YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
  • TUZO ZA TFF, PRINCE DUBE NDIYE MCHEZAJI BORA MWEZI FEBRUARI
  • SIMBA YATINGA HATUA YA 16 BORA YA MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA CRDB

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • March
  • 12

March 12, 2025

  • Sports

ZAMALEK WAVUNA POINT 3 BAAADA YA AHLY KUWEKA MPIRA KWAPANI

Saleh47 minutes ago01 mins

Mchezo wa Derby ya Cairo kati ya Al Ahly dhidi ya Zamalek umeshindwa kuendelea baada ya Al Ahly kushindwa kutokea uwanjani huku mwamuzi Mahmoud Bassiouni akimaliza mechi baada ya kuwasubiria kwa dakika 20 bila kuonekana. Maamuzi amepuliza kipyenga kuashiria mchezo umeisha huku Zamalek wakipewa alama tatu na magoli matatu.

Read More
  • Sports

LIVERPOOL YASUKUMIZWA NJE YA MICHUANO YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Saleh49 minutes ago01 mins

Liverpool imesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia kipigo cha penalti 4-1 dhidi ya Paris Saint-German wenye hatua ya 16 bora katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 0-1 🇫🇷 PSG (Agg. 1-1) ⚽ 12’ Dembele MATUTA: Liverpool: ✅ Salah ❌ Nunez ❌ Jones PSG: ✅ Vitinga ✅ Ramos ✅ Dembele ✅…

Read More
  • Sports

TUZO ZA TFF, PRINCE DUBE NDIYE MCHEZAJI BORA MWEZI FEBRUARI

Saleh1 hour ago01 mins

Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Prince Mpumelelelo Dube amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC 2924/25 akiwashinda Stephanie Aziz Ki pia wa Yanga Sc na Selemani Bwenzi wa KenGold Fc. Pia, kwa mujibu wa taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kocha wa Yanga Sc, Miloud Hamdi ameshinda…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2025. Powered By BlazeThemes.