LIGI YA MABINGWA KITAWAKA LEO! LIVERPOOL VS PSG, BAYER LEVERKUSEN DHIDI YA BAYERN MUNICH

Wakali wa ubashiri Tanzania, wanakupatia nafasi ya wewe kuondoka na kitita cha mkwanja wa maana siku ya leo. Ili kujihakikishia ushindi huo suka jamvi lako na Meridianbet na ubeti sasa.

Vijana wa Alonso Bayer Leverkusen watakiwasha dhidi ya Bayern Munich katika dimba la BayArena. Mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana vijana wa Kompany waliibuka na ushindi mnono, hivyo leo hii wenyeji wanataka kulipa kisasi. Meridianbet wamempa Munich nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.30 kwa 3.15. Jisajili hapa.

Huku Anfield leo Liverpool watawaalika kwao PSG, huku ikumbukwe kuwa Jogoo ana faida ya goli moja. Vijana wa Luis wanahitaji ushindi ugenini leo kuvuka hatua nyingine halikadhalika kwa Liver. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.35 kwa 2.85. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa leo?. Suka jamvi lako hapa.

Mechi za UEFA kukupatia mshiko siku ya leo, bashiri sasa na Meridianbet mechi zote. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Nao Wakatalunya FC Barcelona baada ya kushinda ugenini mechi yake ya kwanza leo hii atakuwa na kibarua cha kupepetana dhidi ya Benfica ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 6.60 kwa 1.42. Je nani kutoka hatua ya Robo Fainali siku ya leo?. Bashiri mechi hii sasa.

Kipute kingine kitakuwa kati ya Inter Milan vs Feyenoord ya kule Uholanzi. Mwenyeji alishinda mechi ya kwanza walipokutana, hivyo leo hii mwenye kibarua cha kuvuja jasho kwa nguvu ni mgeni kama anataka ushindi. Anayendelewa kuondoka na pointi 3 leo hii ni Muitalia kwa ODDS 1.37 kwa 8.40. Tengeneza jamvi hapa.