
YANGA YATOA MSIMAMO: HAKUNA TENA MECHI DHIDI YA SIMBA, WAPEWE USHINDI, KAMATI YA UENDESHAJI WA LIGI IVUNJWE
Sakata la kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo limeingia sura mpya baada ya Kamati ya Utendaji wa Yanga Sc katika kikao chake cha Machi 9, 2025 kutoa msimamo wake kuhusu uamuzi huo wa Bodi ya Ligi kuahirisha mechi hiyo huku ikitoa pole kwa Wanachama, Mashabiki, Wapenzi na wadau wa mchezo wa mpira wa miguu…