REAL MADRID, PSV, NA WENGINE KUKUPATIA USHINDI LEO

Jumanne ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi za UEFA zenye pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3.

Tukianza na Borussia Dortmund yeye atatunishana mbavu dhidi ya Lille ya Ufaransa ambao wapo nafasi ya 5 kwenye ligi na mwenyeji yupo nafasi ya 10 kwenye ligi yao kule Ujerumani. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Borussia kwa ODDS 1.67 kwa 5.20. Je wewe beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.

UEFA imekuja na mpunga wa maana leo ingia na ubashiri sasa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Vilevile PSV atakipiga dhidi ya Arsenal ambapo wote wanataka ushindi leo hii kwenye mechi ya mtoano huku vijana wa Arteta wakipendelewa kuondoka na pointi tatu leo kule Uholanzi wakipewa ODDS 2.04 kwa 3.85. Mwenyeji kwenye ligi yupo nafasi ya 2 halikadhalika kwa The Gunners nao wpao nafasi nafasi hiyo hiyo. Timu hizi zilikutana msimu juzi ambapo kwenye mechi mbili Arteta alichukua pointi 4. Leo hii mwenyeji atafanya nini akiwa nyumbani? Jisajili hapa.

Mechi kali leo hii itakuwa ni Madrid Derby ndani ya UEFA ambapo Real Madrid atakiwasha dhidi ya Atletico Madrid katika dimba la Santiago Bernabeu huku kwenye ligi walipokutana mara ya mwisho wlaitoshana nguvu. Ni vita kali leo kati ya vijana wa Carlo Ancelotti na Diego Simeone. Nani kuondoka na ushindi?. Mechi hii ina ODDS 1.93 kwa 4.00. Suka jamvi hapa.

Club Brugge atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya  Aston Villa inayokipiga kule ligi kuu ya UIngereza huku Meridianbet wakimpa nafasi ya ushindi kwa ODDS 2.40 kwa 3.15. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho walipokutana, vijana wa Unai walipoteza. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi mbele ya timu hiyo ya kule Ubelgiji?. Suka jamvi hapa.